May 10, 2012

BIG SEAN AMLA URODA NICKI MINAJI


Inasemekana kuwa Nicki Minaj alijirekodi video akila uroda na rapper Big Sean, ambaye anatishia kuisambaza.

Princess huyo wa Young Money aliungana na Sean kurekodi remix ya wimbo uitwao 'Dance (A$$)' mapema mwaka huu.

Vyanzo vimeuambia mtandao wa AllHipHop.com kuwa Nicki na Sean walikuwa karibu kiasi cha kulala pamoja wakati walipokuwa wakifanya video ya wimbo huo na Sean akarekodi tukio zima.

Inavyoonekana rapper huyo ndiye aliye na video hiyo lakini haijulikani kama Nicki anajua uwepo wa video hiyo chafu.


Mbaya zaidi mwezi uliopita Sean alitania wakati akihojiwa kwenye The Breakfast Club, kwamba Nicki "felt my Big Sean."

No comments:

Post a Comment