May 2, 2012

MWANAMKE ALIYEZAA WATOTO WANANE MAPACHA AKUBALI KUFANYA VIDEO YA NGONO


Unamkumbuka mwanamke huyu wa Marekani aliyejifungua watoto wanane mapacha,Nadya Suleman? Mambo yamekuwa magumu kutokana na kuwa na madeni yanayofikia £600,000 na sasa ameamua kucheza kwenye filamu ya ngono ili kujiokoa na mtihani huo!

Nadya, 36, alikuwa tayari mama wa watoto sita na kuzaa wengine wanane katika kipindi cha miaka mitatu tu na sasa ana watoto wanne wa kike na kumi wa kiume.
        
   kwa maelezo zaid bofya  http://www.leotainment.blogspot.com

No comments:

Post a Comment