May 2, 2012

MwanaFA na AY wanapanga kumrudisha GK?

Is this a little sign that they want to reincarnate the brother? Lakini katika case hii si kumfufua kutoka kwenye kifo bali kule alikokuwa amejificha.

Ni nani? Ni Gwamaka Kaihula aka King Crazy GK! Is he back in the game?

Picha yake akiwa na swahiba zake AY na MwanaFA imehit kwenye mitandao ya kijamii jumatano hii.

Kwa ufupi tu juu ya picha hiyo iliyowekwa Facebook na Hamis Mwinjuma aka MwanaFA kumesomeka
“With Ay & Crazy GK at Mjrecords... Stay Tuned”

Stay tuned kwa lugha yetu tamu ya Kiswahili inamaanisha “kaeni tayari". Kaeni tayari kwa lipi? Bila shaka kwa ngoma mpya tena pengine kutoka kwa mfalme huyu wa zamani wa East Coast Team!


 



 ZAIDI UNAWEZA SOMA HAPA.................................................

 DAILY ENTERTAINMENT TAKE AWAY: MwanaFA na AY wanapanga kumrudisha GK?:

No comments:

Post a Comment