May 17, 2012

PATRICE MAFISAGO AFARIKI DUNIA

PATRICK MAFISANGO hatunae tena duniani.hababari zinaeleeza kuwa kiungo huyo wa simba amepatwa na jari maeneo ya TAZARA katika harakati za kumweka mwendesha pikipiki.  

Hii ndio gari iliyokatisha uhai wa mchezaji mahiri kiraka wa klabu ya Simba ya Tanzania MCongo aliyebadili uraia na kuchukua ule wa RWANDA PATRICK MUTESA MAFISANGO,MUNGU ailaze roho yake mahala pema peponi.AMINA

No comments:

Post a Comment