Wiki kadhaa zilizopita Lil Wayne alimwacha mpenzi wake aitwaye Dhea
baada ya kugundua kuwa mrembo huyo amepiga picha zenye utata kwenye
jarida moja maarufu nchini Marekani.
Na sasa wamerudiana tena. Imedaiwa kuwa binti yake Lil Wayne REGINAE
ndiye aliyewapatanisha. Inasemekana kuwa Reginae na Dhea walikuja kuwa
karibu sana wakati alipokuwa akidate na Weezy.
Na baada ya kuachana Regina alimwambia baba yake kuwa alikuwa anafanya kosa kubwa na jinsi Dhea anavyompenda Lil Wayne.
Lil Wayne amesikiliza ushauri wa binti yake na sasa wamerudiana wakiwa na mipango ya kuoana mbeleni.
habari hii ni kwa msaada wa BONGO5
Mwenyekiti wa Wasanii wa Bongo Movie,Jacob Steven "JB" akikabidhi
msaada wa vyandarua kwa Muuguzi Msaididi wa Hospitali ya Rufaa ya Bombo
jijini Tanga,pia Mwalishi wa Hospitali hiyo,Bi. Halima Msengi (kushoto)
wakati wasanii hao walipotembelea hospitali hiyo na kujioneea hali
halisi ya uhaba wa vyandarua katika baadhi ya wodi.Msaada huo
umekabidhiwwa hospitalini hapo mapema leo asubuhi kwa hishani ya kampuni
ya Bia Tanzania Kupitia kinywaji Chake cha Grand Malt ambao ni
wadhamini wakuu wa Tamasha la Filamu za Kitanzania (Bongo Movie)
linalozinduliwa leo hii kwenye Viwanja vya Tangamano Jijini Tanga.
Wasanii wa Bongo Movie wakiongozwa na Mwenyekiti wao Jacob Steven "JB"
wakiwa kwenye picha ya pamoja na Muuguzi Msaididi wa Hospitali ya Rufaa
ya Bombo jijini Tanga.Wasanii hawa wametembelea Hospitali ya Bombo
mapela leo asubuhi kwa ajili ya kukabidhi msaada wa Vyandarua katika
hospitali hiyo,ikiwa ni sehemu ya kupiga vita ugonjwa wa Malaria
unaopoteza maisha ya watanzania wengi katika maeneo mbali mbali ya
nchini.Msaada huo umekabidhiwwa hospitalini hapo kwa hishani ya kampuni
ya Bia Tanzania Kupitia kinywaji Chake cha Grand Malt ambao ni wadhamini
wakuu wa Tamasha la Filamu za Kitanzania (Bongo Movie) linalozinduliwa
leo hii kwenye Viwanja vya Tangamano Jijini Tanga.
Wasanii wa Bongo Movie wakiwa wamezunguka kitanda cha Mmoja wa Mama
aliejifungua watoto Mapacha katika Wodi ya Wazazi wa Hospitali ya Bombo
Jijini Tanga mapema leo asubuhi wakati walipofika kutoa Msaada wa
Vyandarua kwa hisani ya Kampuni ya Bia Tanzania kupitia Kinywaji chake
cha Grand Malt ambao ni wadhamini wakuu wa Tamasha la Filamu za
Kitanzania (Bongo Movie) linalozinduliwa leo hii kwenye Viwanja vya
Tangamano Jijini Tanga.
Msanii wa Bongo Movie,Mayassa Mrisho akikabidhi Chandarua kwa Mama
aliejifungua watoto mapacha kwenye hospitali ya Bombo,Tanga mapema leo
asubuhi.
PICHA NA TUKIO ZIMA NI KWA UTAYARISHAJI WA OTHMANI MICHUZI
katika pita pita zangu mitandaoni ,mara nikakutana na ujumbe huu ukimuonesha msanii wa bongo movies na ex-girlfriend wa Msanii Diamond platinum, WEMA SEPETU jinsi alivyojichubua kuliko hata wenzetu wazungu. msanii huyu asiyechokwa na media ameendelea kuwa gumzo kila kukicha, hii inashiria nini UNAPENDWA ZAID au UNACHUKIWA ZAIDI NA MASHABIKI WAKO?
Kwa upande wangu mi sina la kusema zaid ya neno au ujumbe kwa mwanadada WEMA ajaribu kuangalia mambo anayoyafanya kwa umakini zaidi
HIZI NI BAADHI YA PICHA ZILIZOENEA MITANDAONI (facebook,website n.k)
ASEMA FIGO ZAKE ZIMESHINDWA KAZI, ZATAKIWA DOLA 40,000 KUMPELEKA INDIA
AFYA
ya Mwenyekiti wa Jumuiya ya Madaktari Tanzania, Dk Steven Ulimboka
imebadilika na kuwa mbaya, baada ya figo zake kushindwa kufanya kazi ya
kuchuja sumu ya mwili na kusababisha apatiwe huduma ya kusafisha damu
yake.
Habari
zilizopatikana jana na kuthibitishwa na kiongozi wa jopo la madaktari
wanaoendelea kumtibu, Profesa Joseph Kahamba, zilieleza kuwa hali ya Dk
Ulimboka ilibadilika na kuwa mbaya na hivyo kuwapo mikakati wa
madaktari wenzake kukusanya fedha ili kumpeleka nje ya nchi.
Dk
Ulimboka ambaye amelazwa katika Kitengo cha Wagonjwa Wanaohitaji
Uangalizi Maalumu (ICU) katika Taasisi ya Mifupa (MOI), alipatiwa
huduma hiyo jana asubuhi kwa kutumia mashine maalumu, iliyoko katika
Kitengo cha Watoto cha Hospitali ya Taifa Muhimbili(MNH).
Dk ulimboka akiwa ICU-muhimbili
Daktari
huyo ambaye alikuwa anaratibu mgomo wa madaktari unaoendelea nchi
nzima kutokana na Serikali kushindwa kutimiza madai yao mbalimbali,
amelazwa kutokana na majereha aliyoyapata katika sehemu mbalimbali za
mwili, baada ya kutekwa na watu wasiojulikana, kisha kupigwa,
kung'olewa kucha, meno mawili na kutupwa katika Msitu wa Pande, usiku
wa kuamkia Jumatano.
Tangu
alazwe MOI baada ya kuokotwa na wasamalia wema, katika Msitu wa Pande
uliopo nje kidogo ya Jiji la Dares Salaam, hali ya afya ya Dk Ulimboka
imekuwa tete na jana ilizidi kuwa mbaya.
Mwaka 2012 umekuwa si mwaka mzuri kwa ma celebrity wa nje na hata kibongo bongo pia katika suala zima la mapenzi na kuachwa na wapenzi wao kwa namna moja au nyingine.kwa hali hii tunaweza kusema mapenzi hayana fundi waliopo wanataka kutoka na waliopo nje ya mapenzi wanataman kuingia kujionea ni kipi kinaendelea ndan ya tasnia hii ya mapenzi . Wafuatao ni baadhi ya celebrity walioachwa/waliochana wakwanza ni JOHNNY DEPP NA VANESSA PARADIS, kwa upande wa wasanii wa HOLLYWOOD
Johnny Depp and Vanessa Paradis
Johnny Depp arriving with his girlfriend Vanessa Paradis for the 80th Academy Awards in Los Angeles in 2009 vile vile usisahau MYLEENE KLASS NA GRAHAM QUINN
Myleene Klass and Graham Quinn
We don't know what went on behind closed doors, but we do know Graham won't do any better than thispenzi lingine ni hili la msanii DIAMOND PLATINUM na WEMA SEPETUDiamond Platinum na Wema even now am still believed that this was fake love, love which 99% was based on media such newspaper a.ka udaku.Also this love is offically DeadMapenzi moto moto ya wawili hawa nalo pia lilikuwa ni gumzo juu ya gumzo ni RONAN and YVONNE KEATING Ronan and Yvonne KeatingRonan Keating and his wife Yvonne arriving for the Emeralds and Ivy Ball this was 14 year relationship ,wife with three childrenpenzi la mtu wakonge wawili waliodumu kwenye ndoa takriban miaka sita ,ni SEAL na HEIDI KLUM
Seal and Heidi Klum
Heidi and Seal in happier days They
met in 2004 when Heidi was pregnant with her daughter Leni, now seven,
with Flavio Briatore. Seal later adopted Leni and they married in 2005.
They have three other children together, Henry, 6, Johan, 5, and Lou, 2. Hawa si wakuwasau kwani hususan kwa wapenzi wa vipindi vya X-factor wanakuwa si wageni sana ,ni DANNI MINOGUE na KRIS SMITH
Dannii Minogue and Kris Smith
Dannii Minogue and Kris SmithThe former X Factor judge split with the father of her son, Ethan, in April. Like
Ronan and Yvonne, they also confirmed the split via Twitter (which is
massively modern of them) with Dannii writing, "It brings me great
sadness to tell you that Kris and I have separated. We still care for
each other and ask for privacy at this difficult time, in particular for
our son Ethan who remains our number one priority."
Penzi la mtu mzima na dogo dogo stars ,ni HARRY STYLES and CAROLINE PLACK
Harry Styles and Caroline Flack
We might have made this picture ourselvesThe main thing that got everyone in a twist about this relationship though was the age difference. Harry
Styles was 17 when he and Caz (yeah, we're on Caz-named terms) got
together, while she was, um, 32. Yeah, so he couldn't even buy her a
drink, which was a bit awkward. But he could look hot while sheepishly
sloping out of her front door in the morning, so who cares? Lots of
people? Oh. ukizungumzia mapenzi ya wasanii wa kibongo vile vile uwezi kuwasahau wasanii AMINI na LINNAH Amin na Linnah
was love with more joys and funny among themselves but the table turn up side down ,where by Linnah give divorce to amini and love relatioship ended there.
penzi lingine ni la walimbwende hawa ambapo penzi laolilidumu kwa takriban miezi kabla alijapotea miongoni wao,ni MOLLIE KING na DAVID GANDY
Mollie King and David Gandy
Mollie's getting off with Prince Harry anyway, so do one, yeah?The prettiest couple ever (or at least since Brad
and Ange) split up in February after nine months together. Ah, look at
how good looking they are and admire their shiny teeth! We were gutted.
But then David went and said some stuff to Men's Health about their
break up that made us love him a little bit less
Simon Cowell
and MezghanHussainy
This relationship actually
seemed to fizzle and die last year after they weren't pictured with each
other or near each other for yonks - but it was only confirmed in
February.
Simon, 52, later admitted that he'd given the
39-year-old make-up artists a £5million house after calling off their
engagement "because she deserved it". Nice.
Simon Cowell, Mezghan Hussainy,Yeah, so this was weird. They met in 2002, but
only got together officially in 2009. There were lots of reports of
blazing rows and his mum was rumoured to not be Mezghan's number 1 fan. Simon's biographer wrote about their relationship in his book The Intimate Life of Simon Cowell and concluded that she failed to understand the stresses in Simon's life and that he was a rubbish boyfriend. But hey, at least she got a £5m house, right? RIGHT?
Tulisa and Fazer
Tulisa Contostavlos is seen on holiday with boyfriend and N-Dubz band mate Fazer (Pic:Splash)Tulisa and her N-Dubz bandmate Fazer were together secretly for yonks, before splitting in January of this year. They
were together for 18 months, but had known each other since they were
11 so it was a pretty heartbreaking business - but they're still on
speaking terms and Fazer even produced a couple of tracks on her last
album.
Lydia Bright and James 'Arg' Argent
We can see you looking at her bum ArgThe TOWIE co-stars had been together on-and-off for
four years before finally calling time on their tempestuous relationship
in January. Between James and Lydia and Mark Wright and Lauren
Goodger, every single relationship scenario ever has been played out
live on our telly screens. We were always quietly rooting for these two
though as they seemed so genuinely smitten with each other. Also this relationship between JLO and MARC ANTHONY ,have been common talk by different people why this love ended in miserable way . Jennifer Lopez and Marc Anthony
Lydia's
now happily loved-up with HOT new bloke Tom Kilby and Arg is
maybe/maybe not having some naked hugs with co-star Gemma Collins so
all's well that ends well TOM CRUISE and KATIE HOLMES are getting divorced yesterday Tom cruise and Katie holmes
When they met, Tom Cruise was a Hollywood megastar - Top Gun, Last Samurai and Mission:Impossible.
Katie Holmes
was the pretty, sweet one from cult US show Dawson's Creek who was
starting to make progress in films, notably opposite Christian Bale in
Batman Begins.
There was a 16-year age gap - but when Tom leapt
around on Oprah Winfrey's sofa excitedly declaring his love in 2005 in
the early days of their relationship he seemed like a teenager.
He proposed at the top of the Eiffel Tower on a trip to Paris just a month later.
They married in Bracciano, Italy, on 18 November 2006 - and daughter Suri arrived the following April.
what about this???? THE ONE DIVANESS LOVE and MO RACKA
Send your comment
Kim Kardashian and beau Kanye West head into Children’s Hospital Los Angeles on Friday (June 29) in L.A. The day before, the 31-year-old reality star stepped out in another
all-white outfit while running some errands with the 35-year-old rapper
in Santa Monica. “Cooking some soul food for my baby!” Kim recently tweeted. “Luxury chef…the Hermes of soul food,” she wrote in another tweet
with a pic of a plate filled with cornbread, macaroni and cheese,
greens, and fried chicken. 10+ pictures inside of Kim Kardashian and Kanye West out in L.A. and Santa Monica…
Mwigizaji Omotola Jalade wa pili kushoto akikabidhiwa zawadi na za
khanga, shanga na viatu Wema Sepetu wakati akiondoka kuelekea Nigeria
jana usiku. Wanaoshuhudia ni Mkurugenzi wa Kampuni ya One Touch
Solutions, Petter Mwendapole ambao waliratibu ziara ya msanii huyo.
Mwingine wa msanii Snura.
Omotola akijaribu bangili za kimasai alizopewa kama zawadi
Mwigizaji Wema Sepetu akimvalisha Khanga Omotola Jalade muda mfupi kabla ya hajandoka nchini kuelekea Nigeria.
Fans in South Africa will be the first to see new Manchester United signings Shinji Kagawa and Nick Powell in action.Sir Alex Ferguson has revealed both men will play a major role in the
Reds’ 2012 DHL pre-season tour, which begins in Durban on 18 July with a
match against AmaZulu FC. United have also confirmed games in Cape Town
(also South Africa), Shanghai (China), Oslo (Norway) and Gothenburg (Sweden).