Jul 6, 2012

HAPPY BIRTHDAY, 50 cent,Rambo & George W. Bush

ni baada ya siku chache kupita mara baada ya kushekea miaka 236 ya USA,hatimaye majembe mawili kwenye upande wa uongoz na mziki wamezaliwa siku ya leo.
 50 cent na George W Bush nao wamezaliwa leo,50 cents  anafikisha miaka 36, Bush miaka 66 na rambo au Sly Stallone anatimiza miaka 66.

Bush Oh Face50 Cent, HatSly Stallone
Nawe pia unaweza kutuma Taarifa iwe ni siku ya kuzaliwa, kipaimara. Harusi  n.k nasi tutawaharifu wapenzi wasomaji wetu.

No comments:

Post a Comment