Jul 6, 2012

PICHA SITA (6) ZA AY SIKU YA BIRTHDAY,WALIOMWAGIA MAJI

mtangazaji wa kipindi cha mikasi Tv ,salama jabiri nawe alikuwepo
 watu wanamchezo,maji yakaendelea kumwaga ,aisee siku ya kuzaliwa kama ni hv watu inatubidi tuvae magamba ya samaki au......!!!!!!
Marco Chali Akimpa Ndoo Ya Kwanza AY

  muenekano wa keki ni kama huu ,utazani magita yetu ya udogoni,ila imependeza 
wakishindwa maji watakumwagia kamvinyo kidogo ,japo akili ichangamke kidogo
 
Picha zote ni kwa msaada wa sammisago.blogspot.com

No comments:

Post a Comment