Jul 7, 2012

TUKIO ZIMA MAMA LIL WAYNE ALIVYOFUNGA NDOA PANDE ZA NEW ORLEANS



kama ukupata kuona japo picha za mama yake Lil Wayne akifunga ndoa hizi hapa ni badhi;
LIL WAYNE na mama yake Jacita carte pande za New Orleans










mtoto wa Lil Wayne Reginae akipiga jicho jinsi mama yake akiwa ndani ya sheraa


 familia nzima ya carter wakiwa kwenye sherehe







nimeona leo japo tuziangalie harusi za masupa staa , ila kuanzia week ijayo tutaanza kuchambua ndoa moja moja ya kila supa staa awe wa nyumbani au wa mbele.


No comments:

Post a Comment