Apr 22, 2012

MAN BRAY FT 20% - PASU KWA PASU

LINAH HAWAPAGAWISHA VILIVYO WAKAZI WA COLUMBUS, OHIO

Linah mwanamuziki wa kizazi kipya akifanya makamuzi Mjini Columbus, Ohio Jumamosi April 21, 2012 alipokua kwenye TAMANI US TOUR katika kiota cha maraha cha Monkey's Bar & Grill Jumamosi ya April 28, 2012 atakua NEW YORK CITY.
 
Mwnanmuziki wa kizazi kipya Linah akifanya makamuzi wakishirikiana na mwanamuziki wa kizazi kipya wa DMV AJ Ubao kwenye kiota cha Monkey's Bar & Grill Jijini Columbus, Ohio na kukidhi kiu ya mashabiki wa jiji hilo.
AJ Ubao akienda sambamba na Linah kwenye show ya nguvu ndani ya kiota cha Monkey's Columbus, Ohio na kumaliza kiu ya mashabiki waliokua kuwa na shauku ya kumuona Linah mwananmuziki anaye kuja juu kama moto wa kifuu nyimbo zake anazoimba kwa ustadi mkubwa huku aikisindikizwa  na mwanamuziki maarufu kutoka DMV AJ Ubao wote kwa pamoja walikonga nyoyo za mashabiki kwa makamuzi ya kufa mutu..
Juu na chini ni mashabiki wa Columbus, Ohio na Vitongoji vyake wakipagawika na show
Mwanamuziki Linah akiimba na mashabiki wakiduarika.
Mashabiki kutoka kila kona wakipata kile roho ina penda.
Mashabiki wa Columbus, Ohio wakipata picha ya pamoja.
Mashabiki wakiwa ndani ya Monkey's Bar & Grill wakipata picha ya pamoja huku wakifuatilia show ya Linah.
Mashabiki wakipata picha ya kumbukumbu.
Mashabiki waliokuja kwenye show ya Linah na AJ Ubao wakipata picha ya pamoja wa pili toka kushoto ni Miss Kigoma.
Mashabiki waliofika kuona show ya Linah mjini Columbus, Ohio wakipata picha ya pamoja.
 
Dadaz wa Columbus, Ohio wakipata picha ya pamoja.
Dadaz wa Columbus, Ohio wakiwa kwenye show ya Linah na AJ Ubao.





PICHA NA MATUKIO YOTE NI KWA HISANI YA VIJIMAMBO

MISS TABATA NAO HALI YA USHINDANI WA TAJI LA UMISS WASHAMILI


 Warembo wanaoshiriki shindano la Miss Ukonga 2012 wakiwa katika pozi ndani ya fulanazz zao kutoka kwa mmoja wadhamini wa shindano hilo KIOTA JUNGLE-"TRULY TANZANIAN COMFORT.Habari zao zaidi nihttp://www.kiotajungle.com/
 akikisha hukosi show hii May 5,2012, mambo ya mugongo mugongo .
Msanii wa Filamu za Bongo Rich Rich akizungumza na warembo katikia kambi yao ya mazoezi . Rich Rich na timu yake walitia mguu kambi hii ajili ya kuangalia warembo watakao shiriki katika moja ya filamu zake mpya.

KESI YA LULU KUENDELEA LEO TAREHE 23/03/2012

kesi inayomkabili Elizabeth Michael "LULU" dhidi ya mauaji ya muingizaji STEVEN KANUMBA Inatarajiwa kuendelea tena leo hii tarehe 23/03/2012 jijini Dar es salaam  baada ya kuwa imeshatajwa mara moja na upande wa mashitaka kudai kuendelea na uchunguzi na  hali ilyompelekea LULU KUPelekwa rumande.