May 17, 2012
breaking news :OWEN ATANGAZA KUONDOKA MANCHESTER UNITED
Mchezaji wa MANCHESTER UNITED ametaganza nia yake ya kuondoka OLD TRAFFORD. Owen ameamua kutangaza uamuzi huo kupitia mtandao wake wa twiiter ambapo amesema hivi, he said: “The manager informed me after our testimonial match on Tuesday that the club would not be offering me a new contract.
|
|
The future is unclear for the 32-year-old, he continued: "I now plan to have a short holiday during which I will contemplate my next move."
Tweets
I now plan to have a short holiday during which I will contemplate my next move.
I would like to thank the players, staff and fans for their support and wish them well for the future.
I have loved every minute of the 3 years I have spent at such a fantastic club.
The Manager informed me after our testimonial match on Tuesday that the club would not be offering me a new contract.
Playing in a charity golf day today. Happy with my team members @RealJoeCalzaghe @1stServePromo
Big fan of Hodgson though. He is my
idea of what an International manager should be. And we have found a
manager that speaks English!!!
PATRICE MAFISAGO AFARIKI DUNIA
PATRICK MAFISANGO hatunae tena duniani.hababari zinaeleeza kuwa kiungo huyo wa simba amepatwa na jari maeneo ya TAZARA katika harakati za kumweka mwendesha pikipiki.
Hii ndio gari iliyokatisha uhai wa mchezaji mahiri kiraka wa klabu ya Simba ya Tanzania MCongo aliyebadili uraia na kuchukua ule wa RWANDA PATRICK MUTESA MAFISANGO,MUNGU ailaze roho yake mahala pema peponi.AMINA
May 16, 2012
KANYE WEST WILL CAME ALONGSIDE KIM KARDASHIAN

Kanye West will cameo alongside Kim Kardashian on the E! reality show.
Kanye
West and Kim Kardashian haven't exactly been keeping their relationship
private, but viewers will soon get some closer insight into their
personal lives. The celebutante has revealed to E! News that West will appear on the new season of "Keeping Up With the Kardashians" but that she won't be chatting about their fling.
"I want to show my life," she said, noting that she won't talk about
their relationship but will simply let the cameras roll. "If we are
having dinner and he does show up, I'm sure we're not going to go, 'Stop
the cameras!'
"I'm not going to be taking a bubble bath and drinking champagne or
on a sex swing [on camera] like Khloé [Kardashian Odom] and Lamar [Odom]
do," she continued. "It's not going to be like that."
KENNY DALGISH AMEACHANA NA CLUB YA LIVERPOOL
kocha wa timu ya LIVERPOOL atimaye ametangaza nia yake ya kuachana na club ya hiyo. Uamuzi wa kenny Dalglish unakuja mara baada ya kushindwa kuchukua ubingwa la ligi kuu ya england kwa takribani miaka kadhaa toka 2006.
licha ya kuusishwa na ununuzi wa wachezaji kwa fedha nyingi pasipo kuleta manufaa katika club hiyo.Andy Carroll,ambaye ameajasiliwa kwa dola 35million msimu uliosha amefunga magori sita kati mechi 46 alizocheza kabla ya kuja kwa wachezaji kama Charlie Adam, Jordan Henderson and Stewart Downing,
source:WWW.goal.com
WWW.caught offside.com
JOSE CHAMELEON KUPERFOM KWENYE UFUNGUZI WA OLYMPIC GAMES 2012
Jose Chameleone anategemewa ku piga show kwenye sherehe za ufunguzi wa 2012 Olympic Games huko London. Chameleon kapata mchongo huo baada ya kapigiwa simu kampuni iliyoko South Africa AS ENTERTAINMENT liyompa mchongo wa kuperform kwenye kombe la dunia lililofanyika South Africa 2010.
Kampuni hiyo bado ipo katika maelewano juu ya shilingi ngapi chameleon atalipwa,inawezekana akawa ni msanii pekee atakaeiwakilisha East Africa katika michezo hiyo ya olympic
London 2012 Olympics games zimepangwa kuanza july 25 kwa team mbili za mpira wa miguu kwa wanawake katika uwanja wa Millennium, Cardiff.
TIMU YA UINGEREZA EURO 2012
KIKOSI CHA TIMU YA UINGEREZA kitakacho shiriki EURO KIMETAJWA(ENGLAND EURO 2012),Goalkeepers: Joe Hart (Man City), Robert Green (West Ham), John Ruddy (Norwich)
Defenders: Glen Johnson (Liverpool), Phil Jones (Man United), John
Terry (Chelsea), Joleon Lescott (Man City), Gary Cahill (Chelsea), Ashley Cole (Chelsea), Leighton Baines (Everton)
Midfielders: Theo Walcott (Arsenal), Stewart Downing (Liverpool), Alex
Oxlade-Chamberlain (Arsenal), Steven Gerrard (Liverpool), Gareth Barry
(Man City), Frank Lampard (Chelsea), Scott Parker (Tottenham), Ashley
Young (Man United), James Milner (Man City)
Strikers: Wayne Rooney (Man United), Danny Welbeck (Man United), Andy Carroll (Liverpool), Jermain Defoe (Tottenham)
Stand-by: Jack Butland (Birmingham), Phil Jagielka (Everton), Jordan
Henderson (Liverpool), Adam Johnson (Man City), Daniel Sturridge
(Chelsea)
Getty
Getty
Getty
Mirror
Action
Getty
Getty
Getty
Getty
Getty
Getty
May 10, 2012
ZIARA YA UPENDO KILAHIRO NCHINI CANADA YAZIDI KUPENDEZA
![]() |
| Upendo Kilahiro akiwa na pastor Peter Youngren wa TICC. |
Mungu azidi kuonekana katika ziara ya mwimbaji nyota wa gospel nchini Upnedo Kilahiro ambaye yupo nchini Canada kwa ziara ya mwezi mmoja,Upendo ambaye si mara yake ya kwanza kuwa nchini humo ameendelea kupokelewa vyema na jumuiya wa watanzania,waafrika pamoja na watu weupe wa nchini humo katika matamasha na huduma mbalimbali ambazo ameendelea kualikwa kwa ajili ya kumuinua Mungu.
Moja ya mialiko ambayo Upendo amebariki wengi ni katika kanisa la Toronto International Celebration ambako watu wengi walishangazwa na kipaji alichopewa na Mungu katika uimbaji na namna anavyoweza kuchezea sauti yake ushahidi ambao unapatikana pia kwenye video ambayo imerekodiwa na mmoja wa waumini waliokuwepo ibadani hapo na kurushwa kwenye ukurasa wa facebook wa mwimbaji huyu,Pia alipata nafasi kufanya huduma na mmoja wa wahubiri mashuhuri duniani Peter Youngren.Pia jana asubuhi amefanyiwa mahojiano kupitia kituo cha runinga cha GRACE TV, mahojiano ambayo yanatarajiwa kurushwa mwishoni mwa mwezi huu nchini humo.
Ratiba ya mwimbaji huyo ambaye wiki iliyopita aliweza kutembelea ubalozi wa Tanzania nchini Canada,jumamosi hii atakuwa katika kanisa la River Jordan Ministries huku jumapili akitazamiwa kuhudumu mahali pengine.Mwimbaji huyo ameendelea kuwashukuru Watanzania wanaoendelea kuwakumbuka waimbaji akiwemo yeye kwenye maombi ili Mungu aendelee kuonekana katika huduma yao.Upendo kwasasa anatoleo jipya liitwalo ''FICHO LANGU'' kanda ambayo imerekodiwa viwango vya kimataifa ikiwa imechanganywa vionjo mbalimbali ikiwemo kizulu,kizungu bila kusahau kiswahili.
![]() |
| Upendo Kilahiro akifanyiwa mahojiano kwenye GRACE TV jana asubuhi. |

Habida LIVE on Stage - NIGERIA
Kenya’s most celebrated RnB crooner Habida recently had the opportunity to perform LIVE in Nigeria during Opa William’s Nite of a Thousand Laughs - Lagos and the “Sunshine” singer wasted no breath to bring the house down.
As evidenced by the standing ovation she received, Habida sang at the top of her pipes some of her all-time hits as well as the Nigerian national anthem, working the crowd into a frenzy as she reached crescendo. And for a staggering 13 minutes, she kept guests on their feet as she belted one song after the other.
Now for a crowd that is very particular with music and had relatively no background info on Habida, the songbird did an amazing job entertaining them during the comic festival. She also replicated the same feat at the Bomas of Kenya where the East African leg of a Thousand Laughs was held. Up next for the hardworking musician is a brand new single to be released soon.
SAFARI YA SIMBA SC KUELEKEA NCHINI SUDAN

Wachezaji wa timu ya Simba wakiingia kwenye chumba maalum tayari kwa
kuondoka kuelekea Sudan jana kwa mchezo wao wa marudianao na Al Ahly
Shandi.

Makamu Mwenyekiti wa timu ya Simba Bw. Godifrey Nyange ''Kaburu''
akionyesha ishara ya vidole vitano na mchezaji nyota wa timu hiyo
Emmanueli Okwi, kwenye Uwanja wa Ndege wa JK Nyerere jana. Kwa kuonyesha
alama hii huenda walikuwa wakimaanisha ushindi wa magoli 5 walioupata
baada ya kuwafunga watani wao timu ya Yanga.

Nahodha wa timu ya Simba Juma Kaseja (kushoto) akihojiwa na waandishi wa habari kuhusiana na maandalizi ya timu hiyo.
PICHA KWA HISANI YA http://www.fullshangweblog.com/
EUROPA LEAGUE FINAL 2012 _PICTURE

;
-
Atlético Madrid 3-0 Athletic Bilbao
Europa League final: Falcao scored two fine goals as Atlético beat their Spanish rivals in Bucharest
Subscribe to:
Posts (Atom)